EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hata hatuna mpango nao saivi ni mwendo wa kuweka akiba tu[emoji41]Endeleeeni na uchama wenu huo kama amjaishia kuwaita watoto wazuri mashemeji....
Ndio zetu hiziEndeleeeni na uchama wenu huo kama amjaishia kuwaita watoto wazuri mashemeji....
Huyu jamaa bakora zimuhusu aisee,Hii ndio katiba yetu inavosemaView attachment 1717708
Huyo mwanamke inabid apewe ulinzi huku tukiendelea na mipango ya kumjengea sanamu ya ukumbusho.[emoji851]View attachment 1717713
😅😅Endeleeeni na uchama wenu huo kama amjaishia kuwaita watoto wazuri mashemeji....
Afunguliwe kesi ya uhujumu uchumiHii ndio katiba yetu inavosemaView attachment 1717708
huyu mwamba ameifilis nchi kwa kuhonga kwake kizembe yanii😡😡😡Afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu mwamba ameifilis nchi kwa kuhonga kwake kizembe yanii[emoji35][emoji35][emoji35]
Leta barua iliyoandikwa kwa mkono tena kwa penseli ya kuazima uilete kwa mkono bila kupanda chombo chochote cha usafiri cga kulipiaNaombeni uanachama
Huyo atalamba viboko vya kufa.mtuAnafaa adhabu kali huyo mwamb
Kama yapi??Kuna mambo yanafurahisha sana...