Wanachitchat kujeni hapa

Asante Sukari ya warembo jf,kijana mbichi kabisa jf halafu sukari yao wadafada wazuri wote
Mmh.... wewe hauumwi maneno yote hayo yanatoka kwako?

Sema asante tu ujilaze uamke baadae ukiwa umepona.
 
Asante Sukari ya warembo jf,kijana mbichi kabisa jf halafu sukari yao wadafada wazuri wote
Nishatumika wewe... ubichi haupo.

Halafu kipi kinafanya niitwe sukari ya warembo ilihali I'm nobody big deal?
 
Mmh.... wewe hauumwi maneno yote hayo yanatoka kwako?

Sema asante tu ujilaze uamke baadae ukiwa umepona.
Wee sitaki kujilaza mwee unataka izrael apite acha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…