Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
40,905
Reaction score
86,203
Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo

Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea

Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa na Rwanda chini ya Kagame
 
Ramaphosa kaja ila hajaenda kwenye mkutano, kapeleka waziri wa mambo nje, itakua yupo sehemu hapo dar anaandaa jungu na hangaya jinsi ya kuruka na wapiga katerero
 
Back
Top Bottom