Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Feb 8, 2025 #1 Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa na Rwanda chini ya Kagame
Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa na Rwanda chini ya Kagame
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Feb 8, 2025 #2 Ramaphosa kaja ila hajaenda kwenye mkutano, kapeleka waziri wa mambo nje, itakua yupo sehemu hapo dar anaandaa jungu na hangaya jinsi ya kuruka na wapiga katerero
Ramaphosa kaja ila hajaenda kwenye mkutano, kapeleka waziri wa mambo nje, itakua yupo sehemu hapo dar anaandaa jungu na hangaya jinsi ya kuruka na wapiga katerero