Asalamualeku ina maana gani kwani?Kuna mtangazaji wao mmoja wa mpira yeye ni asalamualeku tuu masaa yote sisi watizamaji hatuitaji itikadi zake azipeleke msikitini unaporusha kipindi kwenye jamii yenye michanganyiko ya imani jitahidi sana yale maneno uliyozoea kuyatumia kwenye imani yako usiyaongee utakwaza watu hata kufuatilia vipindi vyako. Hata kama neno hilo linamaana mzuri kiasi gani kwako lakini sii vyema sana
Tigo nao kurudisha imekuwa changamoto, tupo wengi sana tumekumbwa na iliJuzi walitoa Tangazo kuwa kuna matatizo kwenye kulipia huduma kupitia Mpesa,Airtelmoney na tigopesa wakashauri mteja alipie kupitia mawakala wa selcom....hapo subiri kurudishiwa hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bifu zisizo na maana,Kuna mtangazaji wao mmoja wa mpira yeye ni asalamualeku tuu masaa yote sisi watizamaji hatuitaji itikadi zake azipeleke msikitini unaporusha kipindi kwenye jamii yenye michanganyiko ya imani jitahidi sana yale maneno uliyozoea kuyatumia kwenye imani yako usiyaongee utakwaza watu hata kufuatilia vipindi vyako. Hata kama neno hilo linamaana mzuri kiasi gani kwako lakini sii vyema sana
Nimetahadharisha kwenye post yangu regardless maana iliyonayo lakini ni salamu ya kiarabu ambayo inatumiwa saana na dini fulani na ni official greating ya dini hiyo.Asalamualeku ina maana gani kwani?
Hata ingekuwa ya kibiblia kwa nini uitumie kwa watu wenye dini mchanganyiko na wengine wasio na imani kabisa wewe mtu wa media?Acha bifu zisizo na maana,
Asalaam alaykum ni salaam inulikanayo hata kweny bibilia, (tazama Luka 24:36) yaani yesu mwenyewe alitumia hiyo salaam,
ila wakristo wamekuwa wapingaji hawataki kuitumia badala yake mnaiona ni udini, Loh
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ni salaamu ya kiarabu wewe ukiisikia inakuathiri nini?Nimetahadharisha kwenye post yangu regardless maana iliyonayo lakini ni salamu ya kiarabu ambayo inatumiwa saana na dini fulani na ni official greating ya dini hiyo.
Unashangaza sana wewe kiumbe. Kwenye sherehe za kiserikali watu husalimiwa kwa dini zote na mara nyingi hata huko kwenye media hali huwa hivyo.Hata ingekuwa ya kibiblia kwa nini uitumie kwa watu wenye dini mchanganyiko na wengine wasio na imani kabisa wewe mtu wa media?
Hayo maneno anayolisha watu wasioyataka yatafaa zaidi akiwa kwenye Tv kama za IQRA ambazo ukiswitch unapendelea mwenyewe sasa TV ya umma?Sasa kama ni salaamu ya kiarabu wewe ukiisikia inakuathiri nini?
Mbona mambo mengine mnajibebesha wenyewe na kuwaumiza wenyewe! Mimi siyo muumini wa dini hiyo ila natumia salamu hiyo kwa watu wa dini ya upande wa pili. Usijitengenezee mazingira magumu kichwani kisa salamu ya kiarabu sijui inatumiwa na watu wengine.
Umewahi kuwaza hata salamu ya dini yako ni kero kwa wengine.
Unajitengenezea ujinga kichwani kisha unakuumiza mwenyewe. Sijawahi kuwa upande wa mtu yeyote mdini na sitakuwa upande wake kamwe.Hayo maneno anayolisha watu wasioyataka yatafaa zaidi akiwa kwenye Tv kama za IQRA ambazo ukiswitch unapendelea mwenyewe sasa TV ya umma?
Kama wewe ni ndugu yake mwambie kuna baadhi wanakereka na maneno hayo yenye mlengo wa kidini, mwambie atafute watangazaji nguli wamashauri maneno kani atakayoyatumia kwenye media na hayataleta ukakasi kwa baadhi ya watu. Nadhani kwa sasa yeye yupo confortable na haelewi kwamba kuna watu anawakwaza kutokana na aina ya jamii aliyolelewa na kuishi yumkini mtaa mzima, mji mzima alikolelewa na kusoma hiyo ni salamu rasmi... sasa asiamini nchi nzima ni pale alipo mlelewa au alipojifunzia dini basi wanaamini anachokiamini yeye kipo sawa. Media inasambaa duniani kwa sekunde. Kuna baadhi ya maeneo hapa hapa bongo ukimsalimia kwa salamu hiyo ambayo wewe unaona tafsiri yake ninzuri sana ataona umemdharau sana. Kuna watu wana imani zao, makabila yao na katika makabila na imani yao wana maneno mazuri saana ya salamu lakini hairuhusiwi kuyatumia kwenye media inayosambaa kwa walaji ambao hawaelewi maana yake ni jambo dogo sana lakini ni kero sana.Unajitengenezea ujinga kichwani kisha unakuumiza mwenyewe. Sijawahi kuwa upande wa mtu yeyote mdini na sitakuwa upande wake kamwe.
Dini hizi za kuletwa na mashua zitawatesa sana nyie ambao mmezishadadia na kuziweka mbele yenu.
Azam ipo chini ya watanzania wenye asili ya kiarabu/Asia unataka uwe unasikia tumsifu Yesu Kristo, milele amina?
Asalamualeku ni salamu sawa na vipi, hujambo, nambie, hivyo ukianza kutafsiri kwenye mtazamo wa kidini unaonekana usiyejua lolote na mfuata upepo.
Acha kuwafuatilia kama umeona wana udini, umma una watu wengi siyo wewe tu.
Ama hakika wewe ni mzigo katika jamii yako. Ni wapi mamlaka yenye kusimamia vyombo vya habari habari imekataza matumizi ya salamu hiyo?Kama wewe ni ndugu yake mwambie kuna baadhi wanakereka na maneno hayo yenye mlengo wa kidini, mwambie atafute watangazaji nguli wamashauri maneno kani atakayoyatumia kwenye media na hayataleta ukakasi kwa baadhi ya watu. Nadhani kwa sasa yeye yupo confortable na haelewi kwamba kuna watu anawakwaza kutokana na aina ya jamii aliyolelewa na kuishi yumkini mtaa mzima, mji mzima alikolelewa na kusoma hiyo ni salamu rasmi... sasa asiamini nchi nzima ni pale alipo mlelewa au alipojifunzia dini basi wanaamini anachokiamini yeye kipo sawa. Media inasambaa duniani kwa sekunde. Kuna baadhi ya maeneo hapa hapa bongo ukimsalimia kwa salamu hiyo ambayo wewe unaona tafsiri yake ninzuri sana ataona umemdharau sana. Kuna watu wana imani zao, makabila yao na katika makabila na imani yao wana maneno mazuri saana ya salamu lakini hairuhusiwi kuyatumia kwenye media inayosambaa kwa walaji ambao hawaelewi maana yake ni jambo dogo sana lakini ni kero sana.