Wanachokifanya Azam Tv kwa kweli sio busara

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] watu hawana dogo he[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]

kelphin kepph
 
Yote ni makosa kama kuna idhaa ya kiarabu sawa, kama kuna idhaa ya kiingereza sawa, kama kwenye idhaa ya french sawa. Mtu mwenye udini ni yule anayelazimisha kutumia maneno ya dini yake kwa wasiohusika.
 
Yote ni makosa kama kuna idhaa ya kiarabu sawa, kama kuna idhaa ya kiingereza sawa, kama kwenye idhaa ya french sawa. Mtu mwenye udini ni yule anayelazimisha kutumia maneno ya dini yake kwa wasiohusika.
Ukiona kitu hukielewi ujue siyo chako. Unaonekana wazi wewe ni wale watanzania mnaotoka maporini ambao mnajua kuna imani moja tu duniani.

Sasa mkifika kwenye jamii za watu wenye mchanganyiko mnashangaa kuona kuna Uislamu/Ukristo.

Unajipumbaza kwa fikra za ajabu, hii dunia ina lugha nyingi zaidi na hata hicho Kiarabu unachokiona si chochote kwako kimetumika kuimarisha hii lugha yako ya Kiswahili. Acha upofu wa fikra jitahidi kutafuna mitishamba huwenda akili zako zikawa sawa.

Sijawahi kuona kichwa kisicho na ufahamu kama hicho ulichonacho. Kiarabu siyo Uislamu.
 
Closed minded people mnakuwaga na shida sana. Kweli salam inaweza kukuchukiza kiasi hiki? We jamaa ni extremist unaejificha nyuma ya usawa, hauna tofauti na wanaojilipua kisa kutoridhishwa na upande wa wanaoamini tofauti na wao
 
Ila DSTV wananikosha mimi, yaani ndo maana sina mpango na king'amuzi cha aina nyingine kwa sasa.
 
Kuna mechi moja Simba ilikuwa inacheza na timu moja ya nchi za kiarabu,huyu mtangazaji alikuwa kila muda anatangaza kiarabu na ana kiherehere ,na kiarabu chake utadhani alikuwa mtangazaji wa idhaa ya kiarabu.
 
Yani nyie watu mnapenda sana kulazimisha mambo kwakweli! Kwenye Bible huo mstari kwa kiswahili maana yake ni AMANI IWE NANYI! kwanini usiutafsiri kwa kiswahili unakimbilia kuutafsiri kwa kiarabu? Vijana wa Mudi mna shida sana nyie watu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utachoka wanapotangaza La Liga,kwa kiswahili,ni bora wangeacha tu hiyo English na Kiipsania,wakiamua siku hiyo ni kumsifu mchezaji mmoja tu utafikiri watazamaji hamwoni ,kuna mechi ya Barcelona na Valencia hawakutangaza mpira bali walijikita tu kusifia mchezaji mwenye umri mdogo wa Barcelona.Watangazaji wengi bado wanajisahau wanatangaza kama watazamaji wanasikiliza kwenye redio.Mpira upo katikati unasema hatari nyingi.Mpira unachezwa kwa mwendo wa kawaida lakini mtangazaji anaupa spidi ya mdomoni.
 
Wewe umejuaje mtoa mada ni mkristo? Yawezekana hana dini ndio maana akaona kero pale jambo la kijamii linapokuwa la kidini zaidi.
 
Binafsi mimi sio mfuatiliaji wa mpira ila nilichomuelewa mlalamikaji hapo, inaonekana huyo mtangazaji anatumia salamu ya kiarabu (ambayo inajulikana hutumiwa na waislamu). Hili linaweza kuwa jambo la kawaida sana lakini kuna baadhi ya watu wanakereka. Ni sawa na viongozi wa serikali wanaposimama na kusalimia upande mmoja (wengi wakristo) huwa hawawatendei haki wasio wa dini yao. Ikifika sehemu tukatofautisha jamii na dini (japo dini iko ndani ya jamii) tutakuwa tuko huru. Jiulize mbna ulaya ambako kuna ukristo zaidi, hakuna mahala unaweza kusikia kiongozi wa serikali akisalimia salamu yenye viashiria vya udini, Africa tunakwama wapi lakini!!!
 
Asalaam aleikum hata Enok Bwigane wa TBC anaitumia! Hata Magu anaitumia!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujikakamua kutetea ujinga wewe lofa, hili ni taifa la waswahili,lugha yetu ni kiswahili,sasa mtangazaji kituo cha habari kisicho cha kikabila wala kidini anaanzaje kusalimia msabato au mkatoliki,au mu anglican eti salamaleku? Halafu pimbi anasema hiyo ni salamu rasmi! Hiyo ni salamu ya kiislam,wanasalimiana hivyo waislam, padre hawezi kusimama altareni halafu aseme salamaleku,wala sheikh hawezi kusimama mbele msikitini aseme "bwana asifiwe" huo ni wehu,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila salamaleku ni salamu ya waislam! Sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu akisalimu Assalamu alaikum, wewe unakereka nini? Inatakiwa Sasa na wakristo waanzishe kampuni yao ya utangazaji halafu wawe wanasalimu ... "Tumsifu Yesu kristo".. [emoji1787]! .. maana watu mna wivu na hoja za kijinga mno??!!

Udini umewajaa mpk kwenye kucha aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia keenye hiyo Luka 24:36 sijaona neno wasalaam aleykhum!! Kwa hiyo hapo umedanganya,ok?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki binafsi maoni yako yako vizuri ila jitaidi kujificha na chuki dhidi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shaloom aleichim. Ni salamu ya kihebrania kugha halisi ya biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…