Wanachokifanya Vipers SC kwa Ceaser Manzoki, Ndicho Simba SC Walikifanya Kwa B. Morrison

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
IMG_0679.jpg

Hili sakata bado zito sana.

Ni mawili.

Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake.

Ujinga wanao ufanya Simba SC hapa ni huu:-

Wamefanya mazungumzo na wakala wa mchezaji ili waendw vipers sc wakajifanye kama wananunua mkataba ulio baki ili tu mchezaji awe huru. Gharama ya kununua mkataba wake ni takribani $48,000/= ila gharama ya kumnunua mchezaji ni takribani $100,000/=.

Simba wameona ni gharama sana kumnunua mchezaji ukizingatia hali ya kiuchumi ya klabu na sintofahamu iliyopo klabuni.

Rais na tajiri wa Vipers SC amesema Manzoki ataindoka kama Vipers SC itapata offer nzuri zaidi au mchezaji akimaliza tu mkataba wake.

Mnakumbuka lile sakata la Bernard Morrison. Yes Yes ndilo linalojirudia hivi sasa.

WATABE MNASHINDWAJE KUNUNUA MCHEZAJI HATA WA KUTOKA HAPO UGANDA?

Na MLITEGEMEA VIPI KUMPATA ADEBAYOR?
 
Watoe hizo hela! Kama hawana basi waendelee tu na Mshambuliaji wao butu Chris Mushimba Mugalu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unateseka sanaaaa. Manzoki lazima avae uzi wa Nguvu 1.
 
Hawa makolo wa humu kwann wasichangie hiyo $100000 au ndo wana midomo tu hela hawana?
 
Nyie mbna mnashindwa kulipa Deni ENDA TOUR huko. Kibubu cha myemeni koko kimekombwaa choteee.
 
View attachment 2294024
Hili sakata bado zito sana.

Ni mawili.

Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake.

Ujinga wanao ufanya Simba SC hapa ni huu:-

Wamefanya mazungumzo na wakala wa mchezaji ili waendw vipers sc wakajifanye kama wananunua mkataba ulio baki ili tu mchezaji awe huru. Gharama ya kununua mkataba wake ni takribani $48,000/= ila gharama ya kumnunua mchezaji ni takribani $100,000/=.

Simba wameona ni gharama sana kumnunua mchezaji ukizingatia hali ya kiuchumi ya klabu na sintofahamu iliyopo klabuni.

Rais na tajiri wa Vipers SC amesema Manzoki ataindoka kama Vipers SC itapata offer nzuri zaidi au mchezaji akimaliza tu mkataba wake.

Mnakumbuka lile sakata la Bernard Morrison. Yes Yes ndilo linalojirudia hivi sasa.

WATABE MNASHINDWAJE KUNUNUA MCHEZAJI HATA WA KUTOKA HAPO UGANDA?

Na MLITEGEMEA VIPI KUMPATA ADEBAYOR?
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom