demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hili sakata bado zito sana.
Ni mawili.
Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake.
Ujinga wanao ufanya Simba SC hapa ni huu:-
Wamefanya mazungumzo na wakala wa mchezaji ili waendw vipers sc wakajifanye kama wananunua mkataba ulio baki ili tu mchezaji awe huru. Gharama ya kununua mkataba wake ni takribani $48,000/= ila gharama ya kumnunua mchezaji ni takribani $100,000/=.
Simba wameona ni gharama sana kumnunua mchezaji ukizingatia hali ya kiuchumi ya klabu na sintofahamu iliyopo klabuni.
Rais na tajiri wa Vipers SC amesema Manzoki ataindoka kama Vipers SC itapata offer nzuri zaidi au mchezaji akimaliza tu mkataba wake.
Mnakumbuka lile sakata la Bernard Morrison. Yes Yes ndilo linalojirudia hivi sasa.
WATABE MNASHINDWAJE KUNUNUA MCHEZAJI HATA WA KUTOKA HAPO UGANDA?
Na MLITEGEMEA VIPI KUMPATA ADEBAYOR?