Wanachopitia Chadema ni muhimu kwa taifa nzima
1. Kutaa kununuliwa kwa pesa kupitishwa kwa baadhi ya viongozi na wame wa Covid 19
2. Kuanza kutafuta utaratibu wa kujiendesha bila kutegemea serikali
3. Kufikiria sheria na taasisi na sio chaguzi pekee. No reform no election hata kama uchaguzi huu ukiwa wa ujumbe huko mbele watakuwa na mtaji zaidi. Yaani wanafikiria kizazi kijacho na sio uchaguzi ujao.
Haya yote bila Lissu kushinda yasinge kuwepo