Wanachotaka kukifanya Yanga leo kwa Stand hakikubaliki,ebu ona mwenyewe!

Hawa wapiga debe walifanya wajanja round 1, sasa leo ngoja tuwashughulikie ki-kweli kweli adi wasahau njia ya kurudi kwao
 
Wamenikumbusha ya azam znz
Unasema bonanza game ?
Ngoja azam aje kwenye ligi kuu ndipo utaelewa vizuri wakimataifa target yetu nini.

Wamatopeni mnakubali kupigwa Mara mbili na azam!!!!
 
Yanga kama Juventus ..wanachukua kombe mpaka arrrgh
 
Wale siyo Stendi ninaowajua , uchunguzi wa Rushwa ufanyike .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…