Zipo taarifa za kuaminika kuwa tume ya uchaguzi mwaka huu haitawatumia tena walimu katika shughuli zake wakati wa uchaguzi mwaka huu. Badala yake tume imewachukua baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikuu na sasa wapo kwenye training sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuifanya hiyo kaz, na baadhi yao ndio waliotumiwa Zanzibar katika kura ya maoni...