Wanachuo mjue kutofautisha UE,IE na CE

Hahahaa! Ngoja waje humu uonee! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
MJUE KUTOFAUTISHA JAMANI

  • UE-UNIVERSITY EXAMS
  • IE-INSTITUTE EXAMS
  • CE-COLLEGE EXAMS

UTAKUTA MTU ANASOMA IFM AU TIA NAYE ANASEMA ANA UE

Me binafsi naona umekurupuka tu cz university ni sawa ukisema a group of cows is a herd. Ata UD kuna College of business school nk. Ziko nyingi so wao pia waseme CE na sio UE?? Fikiria ilo mkuu
 
MJUE KUTOFAUTISHA JAMANI

  • UE-UNIVERSITY EXAMS
  • IE-INSTITUTE EXAMS
  • CE-COLLEGE EXAMS

UTAKUTA MTU ANASOMA IFM AU TIA NAYE ANASEMA ANA UE
Huo ndio ukweli. Lakini subiri waje uone povu lake ..[emoji85]
 
Me binafsi naona umekurupuka tu cz university ni sawa ukisema a group of cows is a herd. Ata UD kuna College of business school nk. Ziko nyingi so wao pia waseme CE na sio UE?? Fikiria ilo mkuu
Umekurupuka wewe zaidi sina hakika kama wewe kweli ni mwanazuoni Wa UDSm. Mitihani ya mwisho Wa semister hapa UDSM haiendeshwi kwa level za college ie COET,CONAS,etc wala school ie UDBS,school of law .

Kwa mantiki hii mitihani yote ya mwisho inasimamiwa na kuratibiwa katika ngazi ya Chuo ndo mana ratiba ya mitihani inatolewa kutoka utawala Wa Chuo kizima.

Test zinasimamiwa na College na Schools.
 
eeeh mmetuanza tena sisi wa IFM Na CBE tunaomba mtuache na UE zetu ...
 
Kuna university nyingne ni majanga tu mara 100 mtu usome IFM, IAA , CBE or TIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…