wanachuo mnahusika

British economist

Senior Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
104
Reaction score
14
msaada jamani kwa ELECTIVE COURSE kati ya hizi nichague ipi??

1.development studies
2.management behaviour3.introductory sociology
4.communication skills
 
msaada jamani kwa ELECTIVE COURSE kati ya hizi nichague ipi??

1.development studies
2.management behaviour3.introductory sociology
4.communication skills
swali uko chuo gani..?

binafsi nakumbuka wakati naingia mwaka wa kwanza tulipewa ACADEMIC ADVISOR anakuwa ni lecturer hapo chuo ambaye unaweza kumconsult kwa ajili ya issue mbalimbali za kimasomo au hata kimaisha though huwa watu wengi nikiwamo mimi wala hatukwenda na pia washauri wenyewe unakuta wako busy sana...

jambo jingine ambalo naona msaada kwa kila kitivo/faculty chuoni kuna kuwa na waziri wa elimu/academics kwenye serikali ya wanafunzi mojawapo ya kazi zake nikutoa misaada kama hii kwa kuwa na taarifa muhimu kuhusu hizi kozi au kukupa directives

pia unaweza kuwaona waliokutangulia wao wanasemaje hapo chuoni
 
Mimi niko sua na kwa .mwenye mwenye msaada Plz mi nasoma AEA

Kama ni SUA first semister Communication skills 1 huwa haina credit. Halafu unapo elect course inategemea una-lack credit ngapi kufikia minimum of 12 credits zinazotakiwa kwa semester, so angalia course structure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…