Wanachuo tumaini university wagoma

Wanachuo tumaini university wagoma

Lapton2005

Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
76
Reaction score
0
Wanachuo kozi ya art wi education wamegoma kwa kukosa mikopo kupitia tcu. Kwa madai kwamba kozi haitambuliki kisheria "kama hamtaki kusoma acheni" hii ni kauli ya prof mmoja mkuu wa chuo hicho. Ikiwa walimu hawatambuliki namna hii, elimu bora itatoka wapi? Nawasilisha.
 
Kazeni buti. Ndo maisha ya Bongo...KAMA HAKUNA KUGOMA, HAMPATI HAKI YENU...
 
Na sekondari za kata zina upungufu mkubwa wa walimu!
 
Naona hii second term ya JK ni ya migomo, itafikia mgomo mkubwa wa mwisho wananchi watamgomea raisi wao ndio itakua ze end ya movie hii.
 
Back
Top Bottom