Wanachuo kozi ya art wi education wamegoma kwa kukosa mikopo kupitia tcu. Kwa madai kwamba kozi haitambuliki kisheria "kama hamtaki kusoma acheni" hii ni kauli ya prof mmoja mkuu wa chuo hicho. Ikiwa walimu hawatambuliki namna hii, elimu bora itatoka wapi? Nawasilisha.