Wanachuo wa udom wanaohitaji laptops [computer ya mkononi] zipo chuoni palepale

WaituWaitu

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
41
Reaction score
1
Wapendwa wanaudom msifadhaike kufuata laptop mjini na maeneo mengine; laptops zinapatikana pale chuoni kwa bei nafuu kuliko maeneo mengine nje ya chuo :Ni nzuri na za viwango vya juu 'narudia tena usihangaike huduma nzuri CONTACTS;phone number 0765778664, e-mail cethdominick@gmail.com
 
2pia viwango vya bei na aina zake hapo 2jue kama kweli kuna unafuu
 
Nataka Dell Latitude E5610 mpyaaaa na makaratasi yake bei gani??
 

leta bei tujipange,zinaanzia tsh ngapi?zina guarantee au hazina? Je unaweza ukalipa nusu na ukapewa huku ukimalizia ela nusu?tujibu kwanza haya
 
Mkuu tupe bei pia kama kuna uwezekano jibu swali la huyu ndugu hapo juu kama tunaweza lipa nusu alafu tumalizie nusu baadae! Mtoto wa mkulima hapa.
 
Mnaohitaji laptop ipo NOTEBOOK USED Tsh 600,000, SUMSUNG NEW TSH 650,000, pamoja na DELL tsh 600,000 na kuhusu kulipa nusu na nyingine baadaye inawezekana lakini itategemea na maelezo yako kama una nia ya dhati kununua tafadhari wasiliana na mtoa huduma hapo chuoni kwa kutumia hayo mawasiliano hapo juu NOTE; LAPTOPS ZINA GUARUNTEE na pia hautakua mbali na mtoa huduma kwani nami pia ni mwana chuo ndani ya UDOM
 
Hamna kitu hapo mkuu, una laptop 3 tu?? mimi nitafutie HP Pavilion Dv6 Mpyaaa na makaratasi yake
 
mkuu kama unahitaji hiyo hp utapata tatizo ni kuleta mzigo alafu ukaingia mtini
 
mkuu kama unahitaji hiyo hp utapata tatizo ni kuleta mzigo alafu ukaingia mtini

Nataka yenye Intel i5 na 640HDD, mpyaaaa namakaratasi yake taja bei tuone ka kuna business au la!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…