Wanachuo wote inawahusu

Wanachuo wote inawahusu

dodoso33

Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
38
Reaction score
11
kwa kweli kuweni makini na vitu vyenu hasa hasa LAPTOP NA ATM CARD ZENU kwa kweli chuo watu ni wezi wakupindukie wengne ni watoto wa matajiri bt mtoto anakuwa na hulka ya wizi sasa hapo kuweni makini hasa hasa wale 1st year punguza mbwembwe acha laptop yako nyumba soma mazingra kwanza ndio uje nayo mpaka dakika hii nayo kuambia nipo chuoni LAPTOP 9 tayari zimeshaibiwa
ushauri kuwa makini na laptop na atm card yako
 
mi nimeacha laptop na iphone home nxijekufa presha bureee,km wanataka waniibie na hiki kivodafone bac.
 
Kweli kabisa hasa ud pale mabibo hostel nilikuwa nikishuhudia watu wanaibiwa kila siku. Kumbuka huwa funguo watu hawarudishi wanapomaliza so utakuta mtu anafunguo wa room fulani anaingia anafanya vyake.
 
labda hiyo ipo kwa vyuo vingine lakini kwa SAUT sijawahi sikia zaidi ya watu kuvamia vyumba kwa kuvunja milango na kuiba.
 
Back
Top Bottom