Anatomy Member Joined Feb 7, 2012 Posts 51 Reaction score 6 Feb 8, 2012 #1 Wakimaliza madaktari na sisi wanavyuo tunafwata.... Haiwezekan mwanafunzi una vigezo vyote afu mkopo usipewe..
Wakimaliza madaktari na sisi wanavyuo tunafwata.... Haiwezekan mwanafunzi una vigezo vyote afu mkopo usipewe..
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Feb 9, 2012 #2 Dogo upo physicalyfit kwel na upo tayari kutoa uo uhai wako ili uwasaidie wenzako wasome au ni maneno baada ya kushiba ugali wa ndindi shikamoo marahaba maana nakumbuka boom la chuo 2liandamana wakaongezewa wadogo ze2
Dogo upo physicalyfit kwel na upo tayari kutoa uo uhai wako ili uwasaidie wenzako wasome au ni maneno baada ya kushiba ugali wa ndindi shikamoo marahaba maana nakumbuka boom la chuo 2liandamana wakaongezewa wadogo ze2
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Feb 9, 2012 #3 uko wapi wewe? Maana mambo yote yanaanzia UDSM,sasa kama uko UDOM ndoto zako zitazimwa.