Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kwingine alikowekeza mambo ya future. Kwako anakula na kukimbia tuu.
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?
Huyo kapaona kwako mbaga pa kumwaga uchafu tu...