*Namna wadada wanavyo watambulisha wapenzi Wao wenye sura mbaya...utasikia*
*USIMUONE HIVYO ANAHELA HUYO*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahhaahah, umenikumbusha miaka ya nyuma pale Moshi mjini eti wadada ilikuwa fahari kuwaambia wenzio kuwa "NIMEPATA BWANA ANGU, ANA HELA NI MWIZI WA MAGARI" hahahahahhahah