Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa anatoa taarifa ni kweli?

Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa anatoa taarifa ni kweli?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tuache ushabiki binadamu tunagombania kitu gani. Sawa tulijua hamas waliua watu 1500 ila kisasi kimezidi sana ebu wazia uko mtaani kwenu nyumba ya jirani ghorofa inadondoka vumbi lake kubwa sana hatari Balaa.. Binadamu kweli unasapoti hili Balaa..

Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa anatoa taarifa ni kweli? Na mbona video za kutoa maiti nyingi 30000 hazionekani?
 
Tuache ushabiki binadamu tunagombania kitu gani. Sawa tulijua hamas waliua watu 1500 ila kisasi kimezidi sana ebu wazia uko mtaani kwenu nyumba ya jirani ghorofa inadondoka vumbi lake kubwa sana hatari Balaa.. Binadamu kweli unasapoti hili Balaa.. Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa anatoa taarifa ni kweli? Na mbona video za kutoa maiti nyingi 30000 hazionekani?
Waarabu wale wanaponzwa na ujeuri na kibri chao..
 
Ningeshakufa kitambo....maoni yangu ni kuwa kwa dunia ilivyoharibika sasa na mateso ya maisha tunayopitia tusiongeze watoto au tusizae kabisa...hii dunia ni mbaya sana
Mkuu una hoja nzito mno.

Ignore this at your own risk..
 
Back
Top Bottom