EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Mna hero wakuu na si laana.
Moja kwa moja kwny mada
Nipo mkoani Kagera kikazi wilaya naomba nisitaje sasa ni miezi 5
Uzuri nilipofka huku kuna dogo langu mmoja ni askali huku kwahiyo ndo alinipokea na kunitafutia room
Aliponitafutia room nilimkuta jamaa mmoja na mkewe na vitoto vidogo vitatu.
Nilipapenda maana hakuna wapangaji wengi.
Sasa mfumo wangu WA maisha mi ni mkimya na msiri sana pia si mtu WA kujichanganya sana sinywi pombe wala sivuti chochote.
Mwenye nyumba ni mbibi fulan nilipompa Kodi yake ye akasema maswala ya kuandkshana mkataba hajui kusoma wala kuandka nyumba aliachiwa na wanaye hivyo niwe na Amani Tu kwahiyo mpk sasa si Yule Bibi wala hawa wapangaji wenzangu wanaojua jina langu wala kujua nafanya kazi gani ukizngatia sina mazoea na yeyote zaidi ya salamu Tu na Kama kuna shida iliyondani ya uwezo wangu bs nasaidia na huwa nafanya hivyo.
Sa juzi Kati ndani nyumba kuna room ilikuwa free haina mtu kuna jamaa kaja inasemekana ana undugu na Bibi mwny nyumba bado Naye sina mazoea Naye zaidi ya salamu Tu.
Wkend Niko zangu geto nimechili nasikiliza gospel zangu mdogo mdogo huku nachart nasikia mtu anafoka hatari kwa sauti nzto huko nje jiran na dirishan kwangu akitamka maneno ya kwamba huyu ana hela gani ni fala Tu ana hela ya kulipa Kodi na Kula Tu Hana lolote lakini jamaa nilipochungulia nikamuona anatumia nguvu kubwa sn mpk jasho linamtoka kucheck kumbe alikuwa anaongea na Yule mpangaji mwenzangu maana yake kuna mtu walikuwa wanamjadili before ndo jamaa akafula kiasi like ikabdi nitulie dirishani nijue ni Nani ndipo nikaona Yule aliyekuwa anafoka akatamka neno huku amenyoosha kidole kwny dirisha langu aaah ndipo nikajua ni Mimi niliyekuwa najadiliwa.
Aisee imenipa shida sn hivi wanadamu tukoje jamani kosa langu ni lipo mimi maana kama ni usafi mpk chooni huko nafanya tena mara nyng sn kuliko majiran zangu na sijawahi lalamika.
Sjawahi piga wala kutukana wala kumuita mtoto WA mtu kumtuma hata dukani.
Sina marafiki WA kuja hapa hata kupiga story zaidi Yule dogo askali ndo huwa anakuja kupga story maana Naye si mtu WA viwanja kama Mimi.
Nawaheshimu wote na Kama ningekuwa mtu WA totozi huyu mke WA jirani ningeshajilia kitombo sn bt nmejizuia sn sn aisee.
Sasa wakuu mnanishauri nn kwa hili
Sasa nianze kujisogeza kwao na wajue Mambo yangu au nikaze Uzi zaidi Yan Sura mbuzi zaidi au?