Wanadamu wajiandae na mabadiliko ya majira na nyakati (2031 – 2034 A.D) kuelekea mwisho wa dunia hii

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
From Adam hadi Abraham (around 2000 years) patriachs ndio walikua watunzaji wa tumaini la injili. From Abraham hadi Yesu (around 2000 years) Abraham, Isaac, Jacob na uzao wao (Taifa la Israel la wakati ule) ndio walikua custodian wa tumaini la injili. Baada ya Stephen kupigwa mawe around 34 A.D, kanisa ndio limekuwa mtunzaji mkuu wa injili.

Miaka 2000 baada ya Stephen kupigwa mawe inaishia around 2034, hii itatimiza miaka 2000 ya injili kwenda kwa mataifa na kanisa kuwa mtunzaji mkuu wa injili.

So huenda kuna mabadiliko ya majira na nyakati (a change in the times and seasons) yatatokea mitaa ya miaka ya 2030-2040. Wakati huo dunia itakua na miaka around 6034-6044. Dunia itakua iko extra time kwa miaka 34-44 baada ya kumaliza miaka 6000 ya uwepo wake. Uwezekano upo wa extra time kuendelea kwa mamia ya miaka.

Katika kila kipindi cha dunia huwa kuna atleast mtu mmoja ambaye kwa neema ya Bwana Yesu, anakua anaijua injili ya kweli na jina lake linakua limeandikwa mbinguni. Na kabla mtu huyo hajafa huwa kuna mwingine anakua tayari ameshaonyeshwa au kufundishwa injili ya kweli na Mungu wa Israel mwenyewe. E.g. Kabla ya Enoch kufa Methuselah mtoto wake Enoch alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Kabla ya Methuselah kufa, Noah (kitukuu au kilembwe cha Methuselah) alikua na zaidi ya miaka 500 (Noah alikua around miaka 600 wakati wa gharika ambapo Methuselah alikufa miezi michache kabla ya gharika). Na Noah alikua mtakatifu tayari.

Kabla ya Noah kufa, Shem (mtoto wa Noah) alishakuwa mtakatifu. Kabla ya Shem kufa Abraham (more than kitukuu au kilembwe cha Shem) alishazaliwa na kuwa mkubwa na kuwa mtakatifu. Tena baada ya Abraham kuingia Canaan ndio Shem anakufa. Hapo Abraham (kupitia Isaac na Jacob) ndio wanakua wahifadhi wakuu wa tumaini la injili kwa around miaka 2000. Hadi around 34 A.D ambapo Wayahudi wasioamini walimpiga mawe Stephen ambaye alikuwa mfuasi wa Yesu.

Hiyo ndio line halisi kabisa ya kiroho na kiimani ambayo inaendelea mpaka sasa. Na hata sasa kuna Wakristo ambao wameonyeshwa au kufundishwa imani ya kweli na majina yao yameandikwa mbinguni. Wakristo hao wanaweza kuwa wametoka mataifa mbali mbali.

Kwenye kitabu cha Daniel, Yule Mtu Aliekua amesimama juu ya maji mengi (huyu ni Bwana Yesu) Daniel 8:13, Aliitwa Palmoni maana yake ni Wonderful Numberer. Ukiona title kama Wonderful Counsellor, Wonderful Numberer, Revealer of Secrets ujue zina belong to the Godhead. Kwenye old tastement ukiona titles kama ‘The Word of God’, Michael the Archangel, au The Angel of the LORD (kwa mfano pale waisraeli walivyokua wanatoka Misri), ujue huyo ni Bwana Yesu kabla hajazaliwa duniani pale Bethlehem.

So unaona Abraham alivyo furahi na kustaajabu kupita kiasi alivyojua kwamba huyo anaeongea nae kwenye visions (The Word of Yahweh) ndio huyo huyo atakuja duniani na kufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu na kufufuka na kurudi mbinguni kama mshindi. The Word of God ndio Kamanda mkuu wa majeshi yote ya malaika wa mbinguni. Nahisi hata Enoch alikua anajua kwamba Yesu atakuja duniani. So unaona the humility of Jesus (Yahushua) iliopelekea yeye kukaa kuume kwa Mungu Baba. Pride ndio iliyopelekea Lucifer (Satan) kufukuzwa mbinguni.

Kipindi cha waisraeli (tangu Abraham alivyoingia Canaan?) hadi walivyo ondoka Misri ilikua exactly miaka 430. Na kuna majira mengine kama miaka 1260 ambapo injili ya kweli ilikwenda nyikani, kuna miaka 490 etc.

Farao aliambiwa miaka 7 ya mavuno tele na miaka saba ya njaa kubwa. Babeli iliambiwa kuwa itatawala dunia kwa miaka 70. Wamisri enzi za Farao wa Joseph walikua sio wayahudi, walikua sio wakristo, walikua ni mataifa (gentiles), tena watoto wa Ham. So hata Mataifa yetu yana namba zake na majira yake na nyakati zake. Hata makabila, koo na mtu moja moja pia. Tanzania pia ina namba zake na majira yake na nyakati zake.

Ni vizuri Watanzania na Waafrika tumshukuru Mungu wa Israel kwa kutuletea injili Afrika.

2031 ni miaka 2,000 baada ya kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu.

2034 ni miaka 2,000 baada ya injili kwenda kwa mataifa.

So as we approach and pass 2031-2034 kutakuwa na mabadiliko ya majira na nyakati.

Kwa sasa kuna movement kubwa sana kutoka kwa Bwana Yahushua Mashiah (kutoka mbinguni) inayo lenga kuwa fundisha wakristo kuhusu injili yake ya kweli pamoja na mambo mengi muhimu ya kwenye biblia. Kama, Sabato ya kweli ni siku ya saba (Jumamosi), kwamba alipokuja duniani alizaliwa during The Feast of Tabernacles (September/October) etc.

Lengo la movement hii ni kuwa andaa Wakristo kwa the second coming of the Lord Yahushua Mashiah.

Kwa upande mwingine kuna movement kubwa kutoka kwa shetani inayolenga kuipinga injili ya kweli ya Bwana Yahushua.

Ni vizuri tuwe makini tunapopitia hiki kipindi cha 2031-2034.

At the earliest, kuna uwezekano baadhi ya vijana wa leo wakawa hai wakati Bwana Yahushua ana rudi mara ya pili.

Kuna uwezekano pia akachelewa kurudi kwa ma mia ya miaka.

Kunatokea mabadiliko ya majira na nyakati wakati tuna approach na ku pitia hicho kipindi cha 2031-2034.

Soma pia Mathayo 24 na 2 Wathesalonike 2.

Mambo muhimu sana kuhusu sala ya Baba yetu uliye mbinguni

Mathew 6:9 – 13 (ipo pia Luke 11:2 – 4)

Baba yetu uliye mbinguni (Adonai YAHWEH, El wa Abraham, Isaac na Israel),

Jina lako litukuzwe (Hallowed be your name, name/jina ina involve mamlaka yake, ambayo yana involve watu kutii amri zake 10 pamoja na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo, kwahiyo hallowed be your name ina maanisha pia hallowed be your 10 commandments, ina maanisha pia hallowed be your seventh day Sabbath, wale 144,000, wa Ufunuo 14, wenye Jina la Baba kwenye vipaji vya nyuso zao ina maana wanazishika amri 10 za Mungu pamoja na Sabato ya siku ya saba, na pia wana ushuhuda wa Yesu Kristo. Unaweza pia ukacheki Isaya 56:6 “Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;”. Kulitukuza jina la BWANA kuna jumuisha pia kulipenda jina la BWANA),

Ufalme wako uje (Mathayo 19:17 Yesu alimwambia “ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri”……. “kisha njoo unifuate” yaani ashike amri 10 za Mungu na awe na ushuhuda wa Yesu Kristo. “Kuingia katika uzima” ni namna nyingine ya kusema “kuingia katika Ufalme wa Mungu”. Ufalme wake ukija, watakao ingia katika Ufalme wake ni wale watu wanaotii amri 10 za Mungu na pia wana ushuhuda wa Yesu Kristo),

Mapenzi yako yatimizwe (Your will be done, will yake ina involve watu kumtii na kuzishika amri 10 za Mungu, pamoja na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo. Amri 10 za Mungu zina jumuisha pia Sabato ya siku ya saba, inayoanza jua likizama Ijumaa na kuisha jua likizama Jumamosi),
hapa duniani kama huko mbinguni.

Utupe leo riziki yetu (Utupe leo mkate wetu wa kila siku, Give us this day our daily bread, Luke 11:3 inasema “give us day by day our daily bread”. Wana wa Israel walivyokuwa jangwani walikula manna iliyoanguka siku 6, siku ya sita ilianguka manna ya siku mbili, ambayo waliitumia siku ya 6 na nyingine wali ihifadhi na kuitumia siku ya 7 (Sabato). Siku ya 7 (Sabato) manna haikuanguka. Hapa tunaona kwamba Mungu ndiye anaetupa chakula chetu/riziki yetu ya kila siku, na anataka tuitumie siku ya 7 kupumzika na kumuabudu, na kwamba atatulisha pia siku hiyo ya saba hata kama hatufanyi kazi kwenye siku hiyo, na hatutapungukiwa na kitu).

Utusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.

Na usitutie majaribuni,

lakini utuokoe na yule mwovu.

Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.

So sala ya Baba yetu uliye mbinguni ina mahusiano na kutii amri 10 za Mungu na pia kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo.

Revelation 15:4 (KJV) Who shall not fear thee, O Lord, and glorify thy name? for thou only art holy: for all nations shall come and worship before thee; for thy judgments are made manifest. [“Glorify thy name” maana yake ni kulitukuza jina lako. “Judgements" zina mahusiano na amri 10 za Mungu.]

Isaiah 66:22-23 (KJV): 22 For as the new heavens and the new earth, which I will make, shall remain before me, saith the LORD, so shall your seed and your name remain.
23 And it shall come to pass, that from one new moon to another, and from one sabbath to another, shall all flesh come to worship before me, saith the LORD.

Isaiah 56:1 – 7 (KJV) 1 Thus saith the LORD, Keep ye judgment, and do justice: for my salvation is near to come, and my righteousness to be revealed. [“Judgement" ina mahusiano na amri 10 za Mungu.]

2 Blessed is the man that doeth this, and the son of man that layeth hold on it; that keepeth the sabbath from polluting it, and keepeth his hand from doing any evil.

3 Neither let the son of the stranger, that hath joined himself to the LORD, speak, saying, The LORD hath utterly separated me from his people: neither let the eunuch say, Behold, I am a dry tree.

4 For thus saith the LORD unto the eunuchs that keep my sabbaths, and choose the things that please me, and take hold of my covenant;

5 Even unto them will I give in mine house and within my walls a place and a name better than of sons and of daughters: I will give them an everlasting name, that shall not be cut off. [“Give them an everlasting name” ina maanisha atawapa uzima wa milele, atawaingiza kwenye ufalme wa Mungu. Matthew 25:34 (KJV) Then shall the King say unto them on his right hand, Come, ye blessed of my Father, inherit the kingdom prepared for you from the foundation of the world:]

6 Also the sons of the stranger, that join themselves to the Lord, to serve him, and to love the name of the LORD, to be his servants, every one that keepeth the sabbath from polluting it, and taketh hold of my covenant;

7 Even them will I bring to my holy mountain, and make them joyful in my house of prayer: their burnt offerings and their sacrifices shall be accepted upon mine altar; for mine house shall be called an house of prayer for all people.
 
Watu msiojua na msioweza kufikiri nje ya Biblia nawashangaa Sana, dunia ina miaka 6000 tu?

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Back
Top Bottom