Wanaendeleza Mbinu Chafu Tusishangae Wakautwaa Ubingwa.

Mzee baba umeshindwa kulala na kunyanduana na demu wako unaiwaza simba!!
 
Wewe at least umeongea jambo la msingi,reality hasa.
 
Popote mtakapomuona Huyu jamaa Sijui anajiita 'IbenezAfrika' chonde chonde Msimwachie Avuke Barabara Yenye Magari Mwenyewe.

Ni hatari sana Alipofikia anaweza Kugongwa tukajikuta tumempoteza Mwana JF mwenzetu hivi hivi..!
 
Hahaaa
 
Mkuu Pettymagambo Hawa si walisema kuwa kileleni kuna baridi.. Ngoja sasa tuwaletee joto kali, kwahivyo watulie hivyo hivyo
 
Wale wengine waliochimbia kitu na kukimwagia maji unawaongeleaje kiongozi?
 
Clear goal
Hakuna off-site pale
Uchungu na chuki vinakutesa
 
Uko sahihi kabisa na ninakuunga mkono. Ni kweli kuwa Simba walimpa hela Mawele ili apaishe penalt... Isitoshe wakafika mbali wakampa rushwa Mloko ili akose goli la wazi.
Walivyo na michezo michafu wakampa Kaze rushwa kubwa ili timu yetu itoe sare 3 mfululizo.... Yaani hamna namna hawa wametia rushwa ili tuwe timu ya kwanza kuwa unbeaten ila sio bingwa.
Hawa wamewapa bodi ya ligi rushwa ili mechi ijayo tutoe sare na wao washinde ili gap ibaki point 6. Hawa wahuni wamewapa GSM rushwa ili badala ya kusajili beki kwa ajili ya mashindano ya kimataifa wakamuongezea Kibwabwa Shomari mkataba wa miaka 2 wakati mikataba yetu ni ya mwaka mmojammoja.
 
Mm ni shabiki kindakindaki wa Dar Young Africans. Lkn naomba simba abebe ubingwa mwaka huu ili liwe fundisho kwamba Mungu si wa peke yako. Anapokutunuku nafasi usilazimishe kuipeleka kwa mtu mwingine.

Feisali kapata nafasi ya kufunga anampa mayele ili wateteme. Penalty inapatikana Djuma anapokonywa mpira iki watu wateteme wawe na magoli mengi.

Ligi ndani ya ligi, uloskia wapi?
 
Mwache, inawezakuwa anatabia ya kulowesha godoro akilala.
 
Huu ujinga tuache mara Moja!! Kagera walipowafunga Simba turifurahi na kusema Simba ni wabovu!!, Leo wamefungwa kwa magoli halali na mapambano Yao yameonekana.

Tusilawaumu Simba hata kama wanatumia mbinu hizo vipi sisi yanga tumeshindwa kuzitumia?, Tunataka ubingwa kwa Simba kufungwa huku sisi tukudrwa??, Huku tukitakunguliza maslah ya mchezaji mmoja? Wachezji+mashabiki tupo busy kutaka mayele awe mfungaji bora huku tukisahau lengo la timu ni nini??.
 
Ruvu shooting mechi ya Kigoma walifunga goli la wazi tena zuri lakini waamuzi wakalikataa.
hapo ndo nikaamini bahasha za gsm zinafanya kazi iliyokusudiwa.ile mechi ilikua isshe kwa Ruvu shooting 1-0 Utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…