Skuizi misiba imekua biashara za watu walio poteza utuNi kweli kabisa
Nyumbani tulifiwa na mzee kuna jamaa
Akajabidhiwa kitabu aandikishe michango
Daftari la page 100 lilirudishwa na page 60[emoji28]
Watu walitaka mchukua?Magrupu ya whatsap sina hamu nayo , yalitaka kumkimbiza mke wangu kipenzi
Tatizo lako una shobo mdundikoNdiyo group pekee ambalo wameweka kukaa nami miezi miwili. Wamejitahidi sana ila nadhani wamefikia hatua wameshindwa
Mimi mwenzenu haya magroup ya whatsapp huwa simalizi week moja. Wanani remove. Sijui wana matatizo gani? Admins wote wanafanana akili.
Mjadala ulianza last week kuhusu msiba wa ndugu yetu mmoja ambaye amefariki na wanataka akazikwe Bukoba. Wakati anaumwa hali yake ipo vibaya ila angalau... Nilishauri apelekwe kabisa Bukoba. Wakanijia juu kuwa why apelekwe huko.
Now kafariki imekuja issue ya kuchangishana kila mtu 500,000 kugharamia kukodi bus kubwa luxury na maiti kusafirishwa kwa ndege pamoja na watoto wake 4 na mama yao.
Nliwauliza kuna tija gani ya kulazimisha akazikwe kule? Je aliacha pesa ya gharama hizo? Je akizikwa hapa siku za mwisho hatofufuka? Kwa nini tuingie gharama hizo halafu baada ya hapo familia yake ibaki hoi? Maana watoto wake bado wanasoma.
Basi tuchangishane hizo pesa zikasaidie watoto wa marhamu. Imekuwa nongwa nimeshukiwa na kila mtu. Mimi sijaona wakijibu hoja wanadai tu ni mila n.k nikawauliza basi kwa nini isiwe sasa hata kwenye kuzaa mtu awe anaenda kuzalia huko huko kabisa.
Kifupi mimi haya magroup ya whatsapp nina gundu nayo. Juzi juzi nimegombana na jamaa yangu kani add kwenye group lake. Ila yeye tu admin ndo anaruhusiwa kupost. Sasa eti mimi niwe nasoma tu anachopost. Na yeye amekuwa motivational speaker. Anatuchosha tu na videos zake kila siku anaongea amekunja ndita eti kuonesha anaongea mambo sensitive. Nikajitoa. Kumbe na wengine nao baada yangu wakajitoa kutahamaki wamebak watatu katika watu 80 plus.
Amenijia juu kuwa kwa nini nilianzisha kujitoa na watu wametoka nami. Mambo mengine ni ujinga sana. Mimi ndo maana sidumu kwenye magroup sbabu siwezi kuvumilia upuuzi humo. Wanaona ni muasi. Wanani remove.
Sasa uje uniunge group lako kibwege bwege tu bila idhini yangu nakutolea mbavuni. Na hayo magroup yenu admins hamtaki kupingwa kaeni nayo huko huko.
Sasa hadi ndugu wananiona sifai kwenyemagroup. Wakati huku JF watu wanaponywa kwa mchango wangu na madini aghali nayotema.
Kwa tafsiri ya haraka wengi watadhani kama wewe, lakini kwa dunia ilipo fikia usifanye matatizo yako kua matatizo yetu.Upo kama Mimi, sipendi kabisa magroup ila we jamaa unaonekana ni mkorofi sana..
Niliunganishwa na magrupu ya pornography sasa wakati nataka kuyafuta ndiyo wife akawa na simu yangu , akayaona majamboz nikaanza kumuomba msamaha kanuna kaziraWatu walitaka mchukua?
Upo vizuri kwa mipasho ckiy delicious. Nasikia hadi wanawake wanakuogopa kwa kuchamba watu.Tatizo lako una shobo mdundiko
Acha uchawi we boya
Daaaah.,... Changamoto sana. Ulionekana kuwa unatafuta mpasuko nje?Niliunganishwa na magrupu ya pornography sasa wakati nataka kuyafuta ndiyo wife akawa na simu yangu , akayaona majamboz nikaanza kumuomba msamaha kanuna kazira
Ile style uliyonipa mwishoni nilimwaga kila kitu....Wiki hii umekunywa vizuri vidonge vyako.
Ulimwaga Hadi ubongo,naona Sasa umetengenezwa ubongo mpyaIle style uliyonipa mwishoni nilimwaga kila kitu....
Kabisa aiseee........Ulimwaga Hadi ubongo,naona Sasa umetengenezwa ubongo mpya
Hapana sio mpasuko eti analalamika anasema na uzee huu naangalia picha za uchi basi mimi hoi kwa aibu , full kusema nilifungua link bila kujua nisamehewe japo ni ukweli sikujuaDaaaah.,... Changamoto sana. Ulionekana kuwa unatafuta mpasuko nje?
Pole sana maskini....Hapana sio mpasuko eti analalamika anasema na uzee huu naangalia picha za uchi basi mimi hoi kwa aibu , full kusema nilifungua link bila kujua nisamehewe japo ni ukweli sikujua
Yashaisha tuko tubakula ukoko wa Eid El fitr .Pole sana maskini....
hahaaaa! watakuwa walimfuata inbox wakamwimbisha.Watu walitaka mchukua?
Yaani kama una mgonjwa wanasubiri afe ndo uchangiwe mazishi? Hizi ni roho za kichawi. Ndo maana Africa wachawi ni wengi sana kuliko ulaya.Watanzania hunichosha tu jinsi wanavokuwaga busy kuvhangia musiba na sherehe huku ukiwa na uhitaji hata mtaji au mambo ya maendeleo hawataki. Imagine Kuna watu wana kikundi Cha watu 500 ila huchanga 15000 mtu akifiwa ila ukiuguliwa Kwa kukosa matibabu hawataki, why Sasa uchangie aliyekufa. Tunaendekeza ujinga sana nchi hii
Unauza nini? Maana sisi wengine ni wanuuaji tu.Mimi wakiniunga kwenye hizo groups bila mimi kunishirikisha nawapostia matangazo ya biashara yangu. Wananiambia sio kwa ajili ya matangazo wananiremove. Ila biashara nishatangaza..