Moderator: Nomba niireport hii kama abuse maana picha kama hizi zina mahali pake inabidi nijibu maswali mengi kwa kijana wangu hapa sina uhakika ni maadili sahihi
Hiyo rehersal niya muvi ya x au muvi ya aina gani? Sio kila 2nachokiona ktk nchi za magaribi nicha kuinga 2we wapana wa kufikiri hayo co maadili yetu nani ufuska uliopitiliza