Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni.
Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa.
Mfano:
NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo
(i). Why Physics, Chemistry and Biology are natural science subjects?
(A). They need practical and theory work for learning.
(B). They need only theory for learning.
(C). They need practical work only.
(D). They need only observation.
katika hizi option A mpaka D hakuna jibu la kwa nini Physics, Chemistry and Biology are natural science subjects.
Unapozungumzia natural science msingi wake ni "natural findings"
Lakini elimu yetu inatengeneza watu kuwaaminisha msingi wa kuwa natural science ni practical, theory work for learning maana marking scheme inasema hilo ndilo jibu
Mfano mzuri ni computer science
Computer Science siyo natural science lakini ina involve practical and theory work for learning. Kama ku-involve practical and theory work ndiyo sababu ya kuwa natural science subject basi hata computer science ingekuwa natural science
Lakini kwa kuwa msingi wa natural science ni ku explore natural findings basi computer science haitafiti natural things inakuwa siyo natural science.
Unapokuwa na maswali yenye majibu ya kipuuzi kama haya unawachanganya watoto wanaojitahidi kusoma na kuelewa na kuwapongeza wajinga wasioelewa ila wamekalili tu. Ukikuta mtu asiyeelewa anaweza kuondoa natural findings na kutengeneza majibu kwa kuondoa facts kama swali hilo lilivyojibiwa.