Duh!Wanafunzi 45 wametimuliwa shuleni hapo kwa makosa ya kusababisha vurugu na walipokaguliwa walikutwa na silaha kama visu na bisibisi kwenye masanduku yao
Duh!
My former school bana, what happened?
kama kawaida yao, ila nilidhani siku hizi watakuwa wamepunguza bhange kumbe wapi! Msalimie protii
"Heri kufa ukiwa umesimama kuliko ufe ukiwa umepiga magoti"
Mti Safi kulikoni tena?,.....anyway_i miss katizi plus fongo.
ijumaa moja hivi....mwaka 1999 tulipangwa mstari pale basketball court (assembly) na second master mr. Victor....saa 6 usiku akawa anatunusa midomo mmoja mmoja kama tumekunywa pombe...yeye mwenyewe alikuwa "chicha" kinoma...sijui kama wadau wa mti safi mnaikumbuka hii.
wameenda shule au vitani?!?
mmmmmmmmmh!.....hivi bado yupo!
Mti Safi kulikoni tena?,.....anyway_i miss katizi plus fongo.
wameenda shule au vitani?!?