Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
- Thread starter
-
- #21
Mkumbuke kuwa CCM wana maana sana kuanzisha JK-T. Hapa hakuna lolote bali kutengeneza watu wa ZIDUMU FIKIRA ZA MWENYAKITI. NIkiangalia viongozi wengi wa TZ ambao hawaezi kuoji wakati mwingine wakiwa wanaonewa ni wale wote waliopitia JK-T.
Nch inakaribia kurudi kwenye zidumu fikira za mwenyekiti. Wameona jinsi vijana wanvyoleta shida kwenye vikao vingi sasa wanataka kuwadhibiti
Wakati ule JKT ilisaidia sana kudumisha fikra kama unavozitaja.Katika mfumo wa vyama vingi, malengo ya kuanzisha tena JKT lazima yabadilike, ama sivyo chama tawala ndicho kinaweza kufaidika na mpango huu, kama usemavyo...
Haya malengo kwa JK---TII hii mpya hayapo wanataka kuturudisha kule kule, ambapo mtu ni mwizi kisa ni mkuu wako wa kazi unamuacha anaendelea kuiba. Walianza kufikiria JK-T baada ya kutiwa kashikashi wa na wabunge vijana
Mkumbuke kuwa CCM wana maana sana kuanzisha JK-T. Hapa hakuna lolote bali kutengeneza watu wa ZIDUMU FIKIRA ZA MWENYAKITI. NIkiangalia viongozi wengi wa TZ ambao hawaezi kuoji wakati mwingine wakiwa wanaonewa ni wale wote waliopitia JK-T.
Nch inakaribia kurudi kwenye zidumu fikira za mwenyekiti. Wameona jinsi vijana wanvyoleta shida kwenye vikao vingi sasa wanataka kuwadhibiti
Ni kwa mujibu wa sharia dogo, kama hutaki unaacha lakini upande wa pili ni kwamba huwezi kupata ajira serikalini au kwenye shirika lolote la umma unless una cheti chako cha JKT.....!!
Serikali bado haijajipanga kifedha. Ni gharama kubwa.Hao 35 000 itakuwa imetoka....
Ufisadi ukiisha, inawezekana! Tena sana tuuuu
Naomba kuuliza, je wale ambao hawakuchaguliwa kwenda JKT hawatapata ajira? Ikiwa kama kuajiriwa serikalini ni lazima upite JKT. Pia ikiwa kama wanafunzi 5000 ndio waliochaguliwa, je hao ndio watakaoajiriwa serikalini? Je kama ni kwa mujibu wa sheria, iweje sheria isiwabane wanafunzi wote? Maswali ni mengi mno.