WANAFUNZI AMBAO TUNA MPANGO WA KUVUTA WIKI NYINGINE MBELE TUKUTANE HAPA.

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
HABARI WANA JF!

KWANZA KABISA NINGEPENDA WALE WAZEE WA KUVUTA WIKI NYINGINE ZAIDI BAADA YA KUFUNGUA SHULE TUKUTANE HAPA ILI TUSHARE UZOEFU TULIONAO.

→WIKI UNAZOVUTA HUWA UNAFANYA NINI NYUMBANI?

→SIKU UKIRIPOTI SHULE WALIMU HUWA UNAWAPIGA SWAGGER GANI ILI WASIKUSURUBISHE?

KARIBUNI TUSEREREKE HAPA ILI MADOGO WA FORM FIVE WAGAIN EXPERIENCE YA JINSI GANI TNAVUTA LIKIZO.
 
"HIGH SCHOOL FORUM" Mkashike sanaaa elimu huko mashuleni wadogo zangu.
 
Daah me hapa nadoji week 2..nikienda shule ntafanya kama kawaida yangu.. naingia skuli nachechemea naonekna kama nimeumia mguu!.... [emoji51]
Mwanangu acha hiyo tabia haraka kesho nenda shule na usichezee masomo kabisa!
Tazama mimi babako natafuta pesa kwa shida nakesha usiku kucha nalinda nyumbani kwa muhindi huku wenyewe wamelala ndani wanat.ombana mpaka wakati mwingine naishia kuwapiga chabo na uzee wangu huu.!
Soma kwa bidii acha mchezo usije ukaishia maisha kama ya mimi babako!
Kwanza hiyo week utakayokaa nyumbani utafanya nini cha maana zaidi ya kupiga nyeto tu.!
Pu.mbav nenda shule.
 
😀 nimeskia baba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…