Chacha Neema
Member
- Oct 12, 2012
- 6
- 12
Yaan wewe ni nan?msemaji wa bodi?kwa nn msitoe kwenye vyombo vya habar usije ukawa mna beef personal umeamua kumdhalilisha anyways asante kwa taarifa itawasaidia vijana wetu kama ni kweli.
Kuna kipindi Zembwela alishawahi kutoa wizi wa namna hii kwenye supamixx watu hawajifunzi tu? Huyu jamaa ni wa kufatiliwa kama kuna watu alishawachukulia hela wamkamate wamfungulie mashtaka kwa utapeli.
polisi gani hao unaowazungumzia hawa majambazi suguna wauwajiau ni bora jf kuliko hukoitapendeza kama taarifa zitawafikia na polisi (kama bado) na vyuoni napicha zake zibandikwe kwenye mbao za matangazo kila chuo! Pambafu zake!
Yaan wewe ni nan?msemaji wa bodi?kwa nn msitoe kwenye vyombo vya habar usije ukawa mna beef personal umeamua kumdhalilisha anyways asante kwa taarifa itawasaidia vijana wetu kama ni kweli.
huyu kama amekutapeli dawa yake unamloga tu...au unamtoa busha tu lazima akurudishie hela yako!!!
jamaa aliyetoa taarifa hajafanya jambo baya,,,,mbona unakosa busara mdau,unadhan taarifa akizipeleka polisi wewe utazipata???na je kama ashazipeleka???huu ni mtandao wa kijamii na kwakua wewe umesoma basi utawaambia na wengine,,,,,,,,,,simple logic