Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Jun 27, 2016 #1 Hiyo ndiyo middle income country, hata critical thinking - sifuri! Sasa unachoma moto Shule ambayo inakusaidia wewe na watu wako kisa umekatazwa kumuangalia Mzungu kwenye TV, hiyo ni akili au matope?
Hiyo ndiyo middle income country, hata critical thinking - sifuri! Sasa unachoma moto Shule ambayo inakusaidia wewe na watu wako kisa umekatazwa kumuangalia Mzungu kwenye TV, hiyo ni akili au matope?
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,021 Reaction score 1,978 Jun 27, 2016 #2 mzungu ndo nan?
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Jun 27, 2016 #3 Kheeee!
dhk1 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 937 Reaction score 556 Jun 27, 2016 #4 Sijaelewa hapo