Wanafunzi kuacha kusoma

Wanafunzi kuacha kusoma

Kadox

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
29
Reaction score
2
Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero
 
Wange boresha viwango vya elimu, na kufanya elimu iwe haki ya msingi kwa kila mwananchi wa tanzania tofauti na wao wana vyo tupelekesha..

Binafsi hua natumia Professional Certificate kufanyia kazi.. na sio haya mavyeti yetu... yamekaa kihuni huni tu
 
Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero

madogo watakuwa fiti kwenye fb,twitter,bbm,instagram na pono,nakusahau kusoma kabisa kwa sababu hawezi chezea zero
 
Back
Top Bottom