Kadox Member Joined Jul 23, 2013 Posts 29 Reaction score 2 Nov 3, 2013 #1 Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero
Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 3,695 Reaction score 5,042 Nov 3, 2013 #2 Wange boresha viwango vya elimu, na kufanya elimu iwe haki ya msingi kwa kila mwananchi wa tanzania tofauti na wao wana vyo tupelekesha.. Binafsi hua natumia Professional Certificate kufanyia kazi.. na sio haya mavyeti yetu... yamekaa kihuni huni tu
Wange boresha viwango vya elimu, na kufanya elimu iwe haki ya msingi kwa kila mwananchi wa tanzania tofauti na wao wana vyo tupelekesha.. Binafsi hua natumia Professional Certificate kufanyia kazi.. na sio haya mavyeti yetu... yamekaa kihuni huni tu
M METAL JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 297 Reaction score 41 Nov 3, 2013 #3 Kadox said: Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero Click to expand... madogo watakuwa fiti kwenye fb,twitter,bbm,instagram na pono,nakusahau kusoma kabisa kwa sababu hawezi chezea zero
Kadox said: Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero Click to expand... madogo watakuwa fiti kwenye fb,twitter,bbm,instagram na pono,nakusahau kusoma kabisa kwa sababu hawezi chezea zero