Wanafunzi Law School of Tanzania sasa wanaweza kuomba mikopo HESLB

Bibi Mikopo

Senior Member
Joined
May 15, 2015
Posts
180
Reaction score
35
Wakuu,
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na HESLB kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, wanafunzi wa Law School of Tanzania sasa wanaweza kuomba mikopo Bodi....Sehemu ya 2.15 inasomeka hivi

Mwongozo wote unapatikana katika Higher Education Students' Loans Board -HESLB
 
duh,sharti gumu. aliomaliza 2012- nakuendelea
mbona sheedaa.kuna watu walimliza 2011 kurudi nyuma hawajiwezi na kazi hawana ,hapo sawa kweliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…