wanafunzi mara high school wagoma kufanya mock kanda ya ziwa

King sovero

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
35
Reaction score
1
wanafunz hao wanadai kuwa mtihani hauna viwangi, cku ya kwanza wameingia kwany paper history 1, wanafik ndani wanapewa paper2, pia mtihani badal ya kuandikwa
Like zone umeandkwa MWANZA REGION .pia hawajapewa book rets wamepeqa plain papers...
 
Washauri waangalie maana ya neno "Mock" kwenye Kamusi ya Kiingereza. Wakishajua neno "Mock" lina maana gani, wafanye hiyo Mitihani ya "Mock" tu! Vinginevyo hasara kwao!
 
ngoja mje mchezee zero af hakuna cha kumlaumu,nahisi hata division 5 ikipitishwa hamuwezi pata,kizazi cha mulugo mnasumbua
 
Acha papara twende pole pole tutaelewana vizuri...
kiswahili ni lugha yetu sote, ukiandika kizembe zembe inakua lugha ya wachache...
 
wanafunz hao wanadai kuwa mtihani hauna viwangi, cku ya kwanza wameingia kwany paper history 1, wanafik ndani wanapewa paper2, pia mtihani badal ya kuandikwa
Like zone umeandkwa MWANZA REGION .pia hawajapewa book rets wamepeqa plain papers...

Dah shule za mchangani hii ngoja wapate maziro kwenye NECTA
 
Mleta taarifa tu anathibitisha vichwa vya walio goma. Hebu muwe mnaandika vizuri mnawahi wapiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…