Wanafunzi na simu

Wanafunzi na simu

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kizazi cha facebook, wazazi tunalipaada,na hatuwapi hasa mabintilsimu,wanazitumia kwa kificho,utashangaa unaona commnts za mwanao facebook,jamani pesa zangu,mwanangu anapotea,na sie wazazi tunawapacimu under18,je sheria ipitishwe kua halali
 
inategemea sasa...ila hata mimi nimesoma school na wengi waliotumia mda wao mwingi kwenye simu hawakuatoka vizuri...simu si tatizo ila watoto wanapoteza mda mwingi sana kwenye simu na kujisahau...hamna jinsi simu lazima zipigwe BAN mashulen!!
 
Kweli simu ikitumika vizuri ina manufaa je sasa wataweza matumizi bora
 
Kizazi cha facebook, wazazi tunalipaada,na hatuwapi hasa mabintilsimu,wanazitumia kwa kificho,utashangaa unaona commnts za mwanao facebook,jamani pesa zangu,mwanangu anapotea,na sie wazazi tunawapacimu under18,je sheria ipitishwe kua halali

ina depend na mwanafunzi mbona mimi nilikuwa na kesha na fb na nimetusua fresh advance level
 
MKUU BUMIJA KAMA JAMAA ALIVYOSEMA...inategemea na mtu ila kwa wengi ngum mfano mimi nliogopa sana simu nkiwa skul maana najijua!!! na sijui chuo itakuaje!!!! ila wanasema huwezi jua solutini ya tatizo mpaka utapokutana nalo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah,lakini kwa chuo haina tabu mana unajielewa,form2 Na f3jamani hasa mabinti wanapotea
 
Kweli matumizi ya simu wakati mwanafunz akiwa shulen hutegemea na mwanafunz mwenyewe. Wapo wanaotumia sana simu na wanatoka vizuri tu ila wengi wao huwa mwisho wa siku wanaharibu lakini kama alivyosema mdau mmoja hapo juu inategemea na kichwa chako
 
Hii thread yako haina hata kituo... Una point lakini uandishi mchafu.
 
Sasa wasipokuwa na simu watawasiliana vp na wachumba kitaa na mafataki!? Simu zimepigwa marufuku gerezani lakini Liyumba alikamatwa nayo. wafundishwe na kuonywa juu ya matumizi ya simu
 
Matumizi ya simu yana weza athiri na vilevile yasi athiri ufaulu wa mtu,
mimi nimekua nikimiliki simu tangu F2 na ufaulu wangu ni mzuri wa kuridhisha, tena nilipokua High school(private) nilikua na simu na nilikua nikiitumia daily(sio kwa upande wa mapenzi lahasha ni kwaajili ya taarifa za kiteknolojia,studies na kuchezagames) na mwisho wa siku nikafaulu kwa kiwango cha kushangaza wanafunzi wenzangu,nataka kusema kua upangiliaji wa muda na matumizi ya simu ni muhimu sana, Japokua ni vigumu kwa vijana wetu wa sasa, pia mapenzi ndio yana haribu kila kitu, nacho weza kusema wazazi kuna kazi ya ziada kuhiniza na kuelekeza vijana matumizi muhimu ya simu katika kipindi husika. ni hayo tu
 
Ok mr ninga,wadau mnasemaje ili tupate muafaka
 
Hongera sana kwa matumhzi mazuri ya simu. Wengine wao wangekuwa kama wewe ingependeza zaidi
 
Back
Top Bottom