Matumizi ya simu yana weza athiri na vilevile yasi athiri ufaulu wa mtu,
mimi nimekua nikimiliki simu tangu F2 na ufaulu wangu ni mzuri wa kuridhisha, tena nilipokua High school(private) nilikua na simu na nilikua nikiitumia daily(sio kwa upande wa mapenzi lahasha ni kwaajili ya taarifa za kiteknolojia,studies na kuchezagames) na mwisho wa siku nikafaulu kwa kiwango cha kushangaza wanafunzi wenzangu,nataka kusema kua upangiliaji wa muda na matumizi ya simu ni muhimu sana, Japokua ni vigumu kwa vijana wetu wa sasa, pia mapenzi ndio yana haribu kila kitu, nacho weza kusema wazazi kuna kazi ya ziada kuhiniza na kuelekeza vijana matumizi muhimu ya simu katika kipindi husika. ni hayo tu