Wanafunzi:- NATANGAZA DAU La 20,000/= faster

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
910
Kwa atayeniandikia jumla ya Hela ya Nchi. Nitumie m-Pesa, Tigopesa au namba yoyote nakurushia faster ukipata. Natoa saa moja to from now 15:30 to 16:30
UPDATE:-

Jibu lako hili hapa.

CURRENT A/c BALANCE US dallers (-3,951,381,023).

Namba yangu ni 0763631449. Kama unataka udhibitisho niPM.
HOLA..

Hela ya Nchi ni hii Ina mafungu Nane (8),

A:- Coins

1: Tsh 50

2: Tsh 100

3: Tsh 200

B:- Notes

4:- Tsh 500

5:- Tsh 1,000

6:- Tsh 2,000

7: Tsh 5,000

8:- Tsh 10,000 (last)

So jumla ya Hela ya Nchi ni

50 + 100 + 200 + 500 + 1,000 + 2,000 + 5,000 + 10,000 = 18,850.

JUMLA ya HELA ya Nchi ni 18,850.

ASANTENI KWA KUJARIBU..
 
Jibu lako hili hapa.

CURRENT A/c BALANCE US dallers (-3,951,381,023).

Namba yangu ni 0763631449. Kama unataka udhibitisho niPM.
 
Nitumie namba yako ni-kurushie ka-milioni kamoja...!
 
Kwa atayeniandikia jumla ya Hela ya Nchi. Nitumie m-Pesa, Tigopesa au namba yoyote nakurushia faster ukipata. Natoa saa moja to from now 15:30 to 16:30
UPDATE:-

HOLA..

nasubiri jibu lako,aise lazima niandamane.
Coz ninavielelezo.
 
Hela ya Nchi ni hii Ina mafungu Nane (8),

A:- Coins

1: Tsh 50

2: Tsh 100

3: Tsh 200

B:- Notes

4:- Tsh 500

5:- Tsh 1,000

6:- Tsh 2,000

7: Tsh 5,000

8:- Tsh 10,000 (last)

So jumla ya Hela ya Nchi ni

50 + 100 + 200 + 500 + 1,000 + 2,000 + 5,000 + 10,000 = 18,850.

JUMLA ya HELA ya Nchi ni 18,850.

ASANTENI KWA KUJARIBU..
 
ulikosea kuuliza swali,siyo jumla ya hela ya nchi hiyo ni jumla ya thamani ya hela ya nchi.
Nitafungua mashtaka.
 
kaka umetudanganya, ni 18,885
kwani coin za 20, 10 na 5 bado zinatumika asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…