nuno gomez
Member
- Jan 19, 2013
- 13
- 2
Jina lilianza baada ya kuondoka ghowele...(OUT)...hv hao vjana walikuwa wanakufahamu masasi kweli,c wangeishia mwena tu!
Mkuu, inaonekana uliwahi
kwua hapo Ndanda. Ebu nitoe wasi wasi, hivi inawezekana kweli
kuandamana toka pale Ndanda kwenda Masasi?
Ulikuwa mwaka gani pale
bweni gani sheratoni au huku mawenzi na kibo aisee nilikaa pale miezi
kama saba sikuwahi chapwa bakora hata siku moja
masasi unafika tu mkuu
,,,, they tried in 2005 bt police stucked em ,,,,, kwa mziki wa
lizangati mbona karibu tu pale..............
kumbe kuna ardhi ya kanisa?
Ukimiliki ardhi kisheria ukawa na hati,bado utakuwa huna ardhi?au we mbulula
Mkuu, huwajui hawa vichwa mbovu mbovu? Akili zimejaa matongotongo ya udini na ubinafsi.
Nilikuwa Kilimanjaro-Mawaenzi..mwaka 2006-08..
Ok kiongozi mi nilikuwa pale
2007 huku mawenzi, nyie ndio mlikuwa na akina mushi, makamba(fundi
simu), juma(alikuwa kiongozi wa jikoni) na hp alikuwa jamaa fulani hivi
dingi dingi full ostadhi
Wanafunz wa shule ya sekondar ndanda masasi mkoan mtwara wameandamana wakielekea wilayan masasi.
Kwani waliondamana ni Waislamu peke yao ? Au ndio yale yale ya kukurupukaaa kama ya M4C- maandamano kabla ya kuuliza ?