Kuna watu hapo juu wamecoment cjui wakiwa wameweka wapi vichwa vyao?
Wanafunzi waliosimamishwa kipindi kile hawakuwa wamegoma au kudai haki zao kwa presure za kisiasa...mawazo juu ya future yaliwapush as huwezi kumwita m2 ni graduate hali hajawai kwenda field hata moja, ataenda kufanya nini kazini sasa?
Ukiwa nje ya UDOM unaweza kujudge mambo upendavyo so tuacheni tuliovaa hvo viatu cuz tunajua wapi vinatuumiza.
Migomo yote iliyotokea udom imeleta mafanikio au mabadiliko kwa kiwango fulani na tunajua yataendelea kurekebishika kidogo kidogo.
Mwisho napenda kuwatia moyo ninyi ndugu mliorudishwa kujikusanya, mumteue kiongozi atakaeenda mahali husika akaulizie, msiogope as long as mnachoenda kuuliza ni haki yenu. Binadam huwa wanajisahau, wanatumia matatizo ya wengne kujinufaisha so mkinyamaza mtaona mmemaliza semester mkiwa wafu! Ndugu Real Activist put ur name in action mpate bumu!