REAL ACTIVIST
Member
- Dec 2, 2012
- 39
- 5
Achaneni na siasa watoto tulieni msome!
Kilichowafanya msimamishwe masomo ni movement za kisiasa ambazo mlikuwa mnachochewa na WAHUNI CDM wakiwaahidi M4C tulieni mtapata fedha chama kilichopo madarakani ni makini na kisivu ndo maana kimewarudisha baada ya FILTRATION hamtakufa njaa.Siku nyingine tafuteni haki zenu bila POLITICAL PRESSURE.
Kuna watu hapo juu wamecoment cjui wakiwa wameweka wapi vichwa vyao?
Wanafunzi waliosimamishwa kipindi kile hawakuwa wamegoma au kudai haki zao kwa presure za kisiasa...mawazo juu ya future yaliwapush as huwezi kumwita m2 ni graduate hali hajawai kwenda field hata moja, ataenda kufanya nini kazini sasa?
Ukiwa nje ya UDOM unaweza kujudge mambo upendavyo so tuacheni tuliovaa hvo viatu cuz tunajua wapi vinatuumiza.
Migomo yote iliyotokea udom imeleta mafanikio au mabadiliko kwa kiwango fulani na tunajua yataendelea kurekebishika kidogo kidogo.
Mwisho napenda kuwatia moyo ninyi ndugu mliorudishwa kujikusanya, mumteue kiongozi atakaeenda mahali husika akaulizie, msiogope as long as mnachoenda kuuliza ni haki yenu. Binadam huwa wanajisahau, wanatumia matatizo ya wengne kujinufaisha so mkinyamaza mtaona mmemaliza semester mkiwa wafu! Ndugu Real Activist put ur name in action mpate bumu!
kichwa cha panzi!Kilichowafanya msimamishwe masomo ni movement za kisiasa ambazo mlikuwa mnachochewa na WAHUNI CDM wakiwaahidi M4C tulieni mtapata fedha chama kilichopo madarakani ni makini na kisivu ndo maana kimewarudisha baada ya FILTRATION hamtakufa njaa.Siku nyingine tafuteni haki zenu bila POLITICAL PRESSURE.
mnakufa mnaisha?hoja yako ni yamsingi lakini kichwa cha habari umekiwekea chumvi mno.any way bodi nilazima ijitahidi kuhakikisha inawanusuru.Wanafunzi wa UDOM tuliorejeshwa chuoni kuendelea na masomo baada ya kusimamishwa kwa muda wa mwaka mmoja tunakufa kwa njaa kwani hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa,board ya mikopo wanatuambia waliishakipatia chuo pesa za wanafunzi wote,kulikoni chuo?
we ndo msomi unayejitambua! Kudos
Paza sauti zaidi ewe ulie nyikani!