Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele! Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!

unafikiri haki yako utaletewa kwenye sahani? nyie ni machizi tu, si mlitoa mchango wa campaign? vumilieni serikali yetu tukufu haina pesa.
ndio wakome ..wao si ndio walichangisha wakamchukulia mkubwa fomu ya uchaguzi?......mkubwa sasa hivi anakula bata na kina Obama huko nyie lieni tu ..kwa siku moja yeye na mkewe wanakamata per diem 10,000 $/= hajatoka?...ndio muamke nyie watoto wa maskini