Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, waliotaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu

Wanaandamana kitu gani wanafki tu hao! Pesa wanazo nyingi sana, wajilipie ada! si walimchangie mkwere-wanashindwaje kuchangia elimu yao?!!
 

Nani kakudanganya kuwa viongozi walioko serikalini hawakugoma wakiwa UDSM? Muulize Samuel Sitta,alikula bakora za Mwalimu Nyerere.
 
Bangi kali umevuta..!!! FFU chapa viboko kwenye makalio yao...tegua viuno hao wanavunja amani sisi tunataka kusoma, piga virungu haoooooooo
 
Alert!!!!!! Habari za punde zinadai mwana-Udom mmoja kafariki kutokana na kichapo cha Fuga Funza Ule (FFU)
 
Wanaandamana kitu gani wanafki tu hao! Pesa wanazo nyingi sana, wajilipie ada! si walimchangie mkwere-wanashindwaje kuchangia elimu yao?!!
hata mimi hili jambo lilinishangaza sana
 
Tuheshimiane. Mdomo wako huwa hauna hata neno moja zuri?
Mungu huwa haumbi midomo kama hiyo.

Mh,nahisi kakuheshimu sana mkuu...bangi kwetu mboga...teh! teh! teh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…