TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Hii sio kweli Lazima Kunji ingemwagwa ,pale naamini hapa wanafunzia wanajua wao ndo chanzo kama sio basi SERIKALI IMSHINDA KATIKA MKAKATI WA KUJENGE TAIFA LA WAOGA NA akina NDIO BWANA wakianzia kwa wadogo zetu.Hii Enzi zetu isingevumilika!!!!WanaJF, kuna tetesi kuwa, mpaka sasa ni wiki ya tano inaingia tokea mhura wa pili ulipoanza lakini bodi ya mikopo haijaweza kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu,.
Mimi ninaendelea kuzisubiri hizo data, especially from you. Ni vyema ukatuambia tusubiri kwa muda gani.wengi tu, rafiki yangu ni mfano mmojawapo. Ukitaka data zaidi utapata subiri zinakuja.
Wanafunzi nao vp wanshindwa kudai haki zao...mkopo ni haki yao ya msingi kupewa kama serikali inabaki kimyaa na wao wanafunzi wanabaki kimyaa basi nasi tuwaangalie tu.
WanaJF, kuna tetesi kuwa, mpaka sasa ni wiki ya tano inaingia tokea mhura wa pili ulipoanza lakini bodi ya mikopo haijaweza kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu, na hali ni mbaya haswa kwa dada zetu na wale watoto wa masikini wasiokuwa na ndugu hapo dar. Wanafunzi sasa hawawezi kusema kwani wanaogopa kufukuzwa tena. Hebu nisaidieni ni kweli jamani, serikali pamoja na uongozi wa chuo haujui kuwa hawa ni binadamu kama wao wanahitaji kujikimu ikiwa ni maradhi pamoja na mahitaji mengine ya kibinadamu. kazi kwenu wanaJF najua mnajibu zuriii, ambalo laweza hata kuwasaidia hawa wenzetu. Ikiwezekana, kama kunamwanaJF mpiganaji huru atembelee kimya kimya aulize atupe habari kamili ili tujue hatuna serikali siku hizi. Karibuni kwenye mjadala huu.
Hii sio kweli Lazima Kunji ingemwagwa ,pale naamini hapa wanafunzia wanajua wao ndo chanzo kama sio basi SERIKALI IMSHINDA KATIKA MKAKATI WA KUJENGE TAIFA LA WAOGA NA akina NDIO BWANA wakianzia kwa wadogo zetu.Hii Enzi zetu isingevumilika!!!!
Nani wa kuwajibika kwa hawa wanafunzi?
JK yuko Denmark/SA, Pinda yuko Sumbawanga! Waziri wa Elimu yuko Same ktk kuwatafuta wavuvi haramu!
Kwa nini hadi ichukuwe wiki 5 bila hatua? Je serikali inajali?