josewatano
Member
- Sep 20, 2011
- 59
- 26
tetezi za chini ya kapet zinasema kutokana na ajira kuwa kikwazo na kuendelea kuongezeka kwa wahitimu wa elimu ya juu mitaani na taluma zao na kutaka jiajiri ila hawana mitaji pia kila siku serikali pitia watendaji wake imekuwa ikiwataka wahitimu hawa wajiajiri basi wanachuo kikuu wanataka iambia serikali kwakuwa ili waanini ikawapa mikopo mda wa masomo basi waanze toa na mkopo japo milion saba kama mtaji aendapo mtaani