Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Idadi ya Wanafunzi katika vyuo vikuu imeongezeka kutoka 45,501 mwaka 2006/2007 hadi 139, 638 mwaka 2010/2011 sawa na ongezeko la asilimia 206 katika kipindi cha miaka mitano.
TUMEWEZA, TUMETHUBUTU TUNASONGA MBELE.
Mungu Ibariki Tanzania. Wote wanaobeza maendeleo yaliyofikiwa WASHINDWE NA WA WALEGEE KWA JINA LAKO BWANA.
nyie ndo mnaokimbia thread za arusha kwa kuweweseka mnaamua kujibalaguza kwa kutujazia uharo humu, mwaka huu hakuna rangi mtaacha ona lazima mvae bukta jeziIdadi ya Wanafunzi katika vyuo vikuu imeongezeka kutoka 45,501 mwaka 2006/2007 hadi 139, 638 mwaka 2010/2011 sawa na ongezeko la asilimia 206 katika kipindi cha miaka mitano.
TUMEWEZA, TUMETHUBUTU TUNASONGA MBELE.
Mungu Ibariki Tanzania. Wote wanaobeza maendeleo yaliyofikiwa WASHINDWE NA WA WALEGEE KWA JINA LAKO BWANA.
Idadi ya Wanafunzi katika vyuo vikuu imeongezeka kutoka 45,501 mwaka 2006/2007 hadi 139, 638 mwaka 2010/2011 sawa na ongezeko la asilimia 206 katika kipindi cha miaka mitano.
TUMEWEZA, TUMETHUBUTU TUNASONGA MBELE.
Mungu Ibariki Tanzania. Wote wanaobeza maendeleo yaliyofikiwa WASHINDWE NA WA WALEGEE KWA JINA LAKO BWANA.
Tuangalie ubora wa elimu inayotolewa na sio idadi ya wahitimu. Kuna faida gani wa wahitimu kuwa mamilioni lakini kwenye suala job hiring hawa employers hapa nchini wengi wanapenda grads kwa waliosomea nje ya Tanzania sababu wanaelewa mapungufu ya elimu ya vyuo vikuu vyetu?