KERO Wanafunzi wa CBE campus ya Dodoma tuna stress za course kutokana na kucheleweshwa na kutokamilishwa kwa wakati

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kayana

New Member
Joined
Apr 14, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Wanafunzi wa CBE campus ya Dodoma NTA LEVEL 4, 5 na 6 tupo kwenye preparation week kwaajili ya mtihani wa kumaliza semister ya pili ila course work hatujapata na baadhi ya waalimu hawajakamilisha majaribio hasa individual na group assignment.

Pia majaribio tuliofanya yaani test 1 na test two hazijarudi bado. Hii inatufanya kukosa muelekeo tukiwa na stress nyingi.

Na je Uongozi wa chuo haulioni hili kama kikwazo kwa wanafunzi kijisomea kwa bidii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…