Wanafunzi wa Chuo Kikuu MOI wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, waonywa kuachana na tabia ya kutumia barakoa kama 'toilet paper'

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.

2021_02_19 15_47 Office Lens.jpg
 
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.

View attachment 1706342
Kibera mentality in DNA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.

View attachment 1706342
Majamaa primitives hawa, sasa imagine hapo ni chuoni kwa wasomi, huko mashinani kuko aje.
 
Kenya kutembea na mavi ni kawaida.Maji si desturi yao.Usiombe ukagegeda kademu ka Nairobi ni full harufu! [emoji87][emoji87][emoji87]
Wewe mvulana hafifu uliyekataliwa na wasichana wote ndio unazungumza kuhusu kugegeda?
 
Hawa majirani zetu sijui kama ubongo wanao kwa matendo yao.
 
Si bora hata hao wa MOI, je hawa [emoji116]wanaokidhalilisha chuo changu pendwa, Mpka unaona aibu kujitambulisha kuwa wewe ni Alumni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20210220-075057.jpg
 
Si bora hata hao wa MOI, je hawa [emoji116]wanaokidhalilisha chuo changu pendwa, Mpka unaona aibu kujitambulisha kuwa wewe ni Alumni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1706964
Daah ila wanavyuo wa siku hizi ni kichekesho aisee.
 
Wewe mvulana hafifu uliyekataliwa na wasichana wote ndio unazungumza kuhusu kugegeda?
Mbona mademu wa Kenya hawajui kukataa? Tena wakijua ni mtanzania wanakugombania balaa! Upo mzee baba!
 
Si bora hata hao wa MOI, je hawa [emoji116]wanaokidhalilisha chuo changu pendwa, Mpka unaona aibu kujitambulisha kuwa wewe ni Alumni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1706964
Hii hata wakenya walishapewa warning pia
 
Si bora hata hao wa MOI, je hawa [emoji116]wanaokidhalilisha chuo changu pendwa, Mpka unaona aibu kujitambulisha kuwa wewe ni Alumni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1706964
Imepikwa hii
 
Back
Top Bottom