Wanafunzi wa diploma hakuna kuingia Vyuo vikuu mwaka huu

Wanafunzi wa diploma hakuna kuingia Vyuo vikuu mwaka huu

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
246
Wadau naombeni kujua kwa sisi tulio maliza Diploma mwaka huu tutaendaje vyuo vikuu, Maana systeam ya TCU mwaka huu inakataa eti kwakuwa matokeo yetu hayako online ...
Watu wa TCU kwa nini wasiruhusu sisi kuappy moja kwa moja vyuoni???
 
Nadhan kuna fom za kila chuo kwenye mtandao,nenda kadownload,nadhan kama una provision of examination result unaweza ku attach
 
Wadau naombeni kujua kwa sisi tulio maliza Diploma mwaka huu tutaendaje vyuo vikuu, Maana systeam ya TCU mwaka huu inakataa eti kwakuwa matokeo yetu hayako online ...
Watu wa TCU kwa nini wasiruhusu sisi kuappy moja kwa moja vyuoni???

NI kweli kabisa hapa pana udhaifu mkubwa sana kwenya hizi taasisi za elimu ya juu, hasa TCU na NACTE ikiwa kama regulatory body inaonyesha wazi udhaifu mkubwa sana utadhani hawathamini wanafunzi husika na ndio wadao wao wakuu.. Huwezi kuweka deadline wakati ukijua kuwa wadau wako hawata weza kuifikia hata kidogo ,, huu ni ujinga na unyanyasaji na pia hujuma ya taifa kielimu, hujuma wa wananchi kwani muda ni mali watu wanaweza poteza rasilimali nyingi sana kwa ujinga wao,, ushauri TAFUTENI JUKWAA LA KULALAMIKA, kama vile HAKI ELIMU n.k. Wandishi wa habari, na pia magazetini ndio watanzania walivyozoea...
 
Punctuation marks please."Hang Him not, let him go","Hang Him,not let him go".Are these sentences have the same meaning?
 
Back
Top Bottom